Kumbukumbu ya Mauaji Mabaya Yaliyowahi Kutokea Duniani
Kumbukumbu ya Mauaji Mabaya Yaliyowahi Kutokea Duniani
Kumbukumbu ya miaka 50 tangu yatokee mauaji makubwa ya yanayofahamika kama My Lai yaliyotokea eneo la Son My nchini Vietnam.
Mnamo March 16, 1968 wanajeshi wa Marekani waliwaua watu 504 ambao walikuwa raia wa Vietnam na tukio hili lilitokea na kutambulika kama tukio la kutisha zaidi ambalo lilitokea wakati wa Vita ya Wavietnam.
Waliuawa wanawake, wanaume na watoto, huku idadi kubwa ya wanawake wakibakwa na kutendewa vitendo vya kikatili.
On March 16, 1968, Capt. Ernest Medina led his infantry company in an assault on the village of Son My, along the central coast of South Vietnam, as part of a mission to find and destroy a battalion of the National Liberation Front, also known as the Vietcong. One of the hamlets within the village was called My Lai.