Latest Breaking News On - Province responsive north - Page 1 : comparemela.com
Afrika katika magazeti ya Ujerumani | Matukio ya Afrika | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Waasi wa ADF wadaiwa kuua watu 16 DRC
voaswahili.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from voaswahili.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Uganda yawashtaki watano jaribio la mauaji ya waziri | Matukio ya Afrika | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Polisi wa Uganda wadai washambulizi walipewa mafunzo kwenye kambi ya kigaidi
2 Julai, 2021
Shirikisha
share
Print
Polisi nchini Uganda Alhamisi wamesema watu wenye silaha waliojaribu kumua waziri wa mmoja wa taifa hilo, walipatiwa mafunzo katika kambi ya wanamgambo wa kiislamu katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Watu wenye silaha waliokua kwenye pikipiki mwezi uliopita walimshambulia kwa bunduki, waziri wa kazi na uchukuzi na mkuu wa zamani wa polisi, Katumba Wamala, alipokuwa ndani ya gari lake akiwa kwenye kitongoji kimoja cha Kampala. Washukiwa ni sehemu ya kundi lililopewa mafunzo katika kambi moja kwenye jimbo la Kivu kaskazini, kambi inayoendeshwa na kundi la waasi wa Allied Democratic Forces,ADF, naibu mkuu wa polisi Paul Lokech amesema. ADF linadai kutokuwa na uhusiano na kundi la Islamic State.
Gavana wa kijeshi DRC awaonya waasi hususan Maimai
voaswahili.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from voaswahili.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.