comparemela.com

Latest Breaking News On - Not ijabainika - Page 1 : comparemela.com

Ulimwengu walaani mapinduzi ya kijeshi Guinea | Matukio ya Afrika | DW

Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika, Jumuiya ya ECOWAS, Marekani na Ufaransa zimeshutumu na kulaani vikali mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea na kutaka Rais Conde kuachiliwa huru mara moja. 

Mvua kubwa na mafuriko yasababisha maafa nchini Ujerumani | Matukio ya Kisiasa | DW

Mvua kubwa na mafuriko yasababisha maafa nchini Ujerumani | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Soko Kuu mjini Mombasa lateketea kwa moto

Soko Kuu mjini Mombasa lateketea kwa moto 11 Julai, 2021 Shirikisha share Print Soko maarufu la Marikiti mjini Mombasa nchini Kenya limepata hasara kubwa kutokana na moto ambao ulilikumba soko hilo Jumamosi usiku kuamkia Jumapili. Wafanya biashara katika soko maarufu la Marikiti mjini Mombasa wamepata hasara kubwa baada ya moto mkubwa kushuhudiwa usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili Hakuna ripoti za maafa wala majeruhi kufikia sasa huku juhudi za kuzima moto huo zikiendelea. Magari ya zima moto kutoka kitengo cha serikali za ugatuzi wakishirikiana na polisi wako kwenye tukio wakijaribu kudhibiti hali. Wakati huu ambapo kuna sharti la kutotoka nje wakati wa usiku kwa sababu ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, baadhi ya wakaazi wa maeneo ya karibu wako nje kushuhudia moto huo na wengine wakitoa msaada wa kudhibiti moto.

Nani Kachoma Soko la Kariakoo, Mashuhuda Walalamika vifaa Duni

Nani Kachoma Soko la Kariakoo, Mashuhuda Walalamika vifaa Duni
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Soko Kuu Mjini Mombasa Lateketea kwa Moto

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.