Latest Breaking News On - New january - Page 17 : comparemela.com
Gen Tsadkan Gebretensae: Jenerali hatari wa kijeshi anayeongoza maasi ya TPLF Ethiopia
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Egy éve csúszik az iskola felújítása, a volt gyógyszertárban és a plébánián tanulnak a babócsai gyerekek
24.hu - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from 24.hu Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Ingatlan: Egy éve késik a babócsai iskola felújítása, gyógyszertárban és plébánián kénytelen tanulni a diákok
hvg.hu - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from hvg.hu Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
영국 하루 확진 2만6천명으로 급증…7월 19일 봉쇄해제 가능할까
kbs.co.kr - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from kbs.co.kr Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Wahamiaji waokolewa kwenye bahari karibu na Tunisia
28 Juni, 2021
Shirikisha
share
Print
Wizara ya ulinzi ya Tunisia jana imesema meli zake ziliokoa wahamiaji 178 waliokua wanajaribu kuvuka bahari ya Mediterranean wakitokea Libya kuelekea Ulaya.
Miili miwili ilipatikana na wahamiaji 178 waliokolewa wakati wa operesheni tatu kwenye pwani ya kusini mwa Tunisia, taarifa ya wizara ya ulinzi imesema.
Wizara hiyo imesema wahamiaji hao ambao ni kutoka Misri, Tunisia, Syria, Ivory Coast, Bangladesh, Nigeria, Mali na Ethiopia, walikuwa wameondoka kutoka bandari ya Libya ya Zuwara Ijumaa usiku.
Alhamisi, viongozi wa Tunisia walikamata wahamiaji 267 ambao walikua wameanza kuvuka bahari kutoka Libya, wengi wao wakiwa raia wa Bangladesh, shirika la kimataifa la uhamiaji IOM, limesema.