Latest Breaking News On - Nations guterres - Page 4 : comparemela.com
Amnesty: Wahamiaji wapitia unyanyasaji mbaya Libya | Matukio ya Afrika | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Baraza la Usalama lakutana kujadili kuuwawa kwa Rais wa Haiti
voaswahili.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from voaswahili.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Waasi wa Tigray wakubali kusitisha mapigano kwa masharti | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
UN na tume ya haki za binadamu Ethiopia zataka raia walindwe
Tume ya kutetea haki za binadamu ya Ethiopia (EHRC), imetilia mkazo miito ya Umoja wa Mataifa kutaka hatua za dharura zichukuliwe kuwalinda na kuwasaidia raia katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia.
Jimbo hilo limekumbwa na uharibifu wa miundo mbinu muhimu huku kitisho cha njaa kikiongezeka kufuatia machafuko ambayo yamedumu kwa miezi minane sasa.
Mamilioni ya watu wanakabiliwa na kitisho cha njaa mnamo wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vikifikia hatua ya mabadiliko na maelfu ya wanajeshi wa Ethiopia waliokamatwa wakiwasili katika mji mkuu wa jimbo la Tigray Mekele, huku waasi wakitangaza kurejesha udhibiti wa mji huo mikononi mwao.
Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia | Matukio ya Afrika | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.