Usalama wa rais:Wafahamu marais ambao wameponea kuuawa katika siku za hivi karibuni
26 Julai 2021, 05:53 EAT
Chanzo cha picha, Reuters
Usalama wa rais wa nchi yoyote huwa suala muhimu ambalo huchukua raslimali nyingi na mipango ya muda mrefu ili kuto hakikisho kwa umma kwamba kiongozi wan chi yuko salama .
Hata hivyo pametokea visa vya marais kuuawa wakiwa madarakani na hata wengine kuponea kupitia majaribio ya kuwaua wakiwa wangali madarakani Hivi Karibuni-tarehe 20 mwezi Aprili mwaka huu , Afrika na ulimwengui ilipokea Habari za kutisha na za ghafla kwamba rais wa Chad Idriss Deby aliuawa .
Wengi walitaka kujua hali iliyopelekea mauaji ya rais huyo na serikali ya Chad ilitoa taarifa kueleza kwamba Deby alikuwa katika mstari wa mbele kupambana na waasi wakati alipokumbana na mauti yake kwa kupigwa risasi
Rais wa mpito wa Mali ashambuliwa msikitini
voaswahili.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from voaswahili.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Rais wa mpito wa mali yuko salama baada ya shambulio | Matukio ya Afrika | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Waislamu washerehekea Eid al-Fitr | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.