Maelfu waandamana Ulaya kupinga vizuizi vya Covid-19
Maelfu ya raia kwenye mataifa kadhaa ya Ulaya waliandamana siku ya Jumamosi kupinga vizuizi vya kudhibiti kusambaa ugonjwa wa Covid-19 na sera za kuwalazimisha kudungwa chanjo.
Maandamano mjini Paris
Wengi walioandamana wanadai sera hizo zinatishia uhuru wa raia katika wakati serikali barani Ulaya zinazidisha shinikizo dhidi ya watu amabo hawajapatiwa chanjo.
Nchini Ufaransa, kiasi watu 160,000 walijitokeza kuonesha ghadabu zao dhidi ya rais Emmanuel Macron na serikali yake mjini Paris na katika miji mingine.
Muswada mpya wa sheria chanzo cha maandamano
Mjini Paris maandamano yaligeuka kuwa vurugu
Waandamanaji hao wamekasirishwa na muswada mpya wa sheria unaowalazimisha raia kuwa na hati maalumu ya kudhibitisha kuwa wamechanjwa au kuonesha kwamba hawana maambukizi ya virusi vya Corona ili waweze kuruhusiwa kuingia kwenye mikahawa na maeneo mengine ya umma.
Moje leto, moje knjige: Špela Pavlič, Veronika Šoster in Aljoša Harlamov rtvslo.si - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from rtvslo.si Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.