Scouts showed up to Tuesday night's county commission meeting to oppose the quarry, worried about air and water pollution, but the camp's facilities manager worries
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 05.07.2021: Insigne ,Pjanic, Umtiti, Ronaldo, Mendy, Ryan, Willock
5 Julai 2021, 06:50 EAT
Imeboreshwa Saa 4 zilizopita
Chanzo cha picha, Getty Images
Tottenham na Barcelona zina hamu ya kumsajili nahodha wa klabu ya Napoli Lorenzo Insigne , ambaye amekuwa nyota wa Itali katika michuano ya Euro 2020 inayoendelea , huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 akiwa bado hajaongeza kandarasi yake inayokamilika 2022. (Corriere dello Sport - in Italian)
Pjanic anahusishwa na uhamisho wa kuelekea Tottenham, ambao wanaotaka kumsaini kuwapiku Manchester United wanaomuhusudu kwa muda mrefu kiungo huyo. (Express)
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,
Cristiano Ronaldo
Wakala wa Cristiano Ronaldo Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea kukipigia klabu hiyo ya Serie A mpaka mwaka 2023. Hivyo klabu ambazo zilikuwa zinamyatia