Pendekezo la sheria inayoruhusu ndoa ya mwanamke kuolewa na wanaume wengi lazua hisia Afrika kusini
Saa 5 zilizopita
Maelezo ya picha,
Ndoa ya mwanamke mmoja kuolewa na wanaume wengi
Pendekezo la Afrika Kusini kuhalalisha ndoa ya mke mmoja aliye na wanaume wengi kwa wakati mmoja imezua hisia kali na kupingwa na wengi miongoni mwa wahafidhina nchini humo.
Hatua hiyo haimshangazi Profesa Collins Machoko, msomi maarufu kuhusu suala hilo. Pingamizi hizo ni kuhusu udhibiti , aliambia BBC.
Jamii ya Kiafrika haipo tayari kwa usawa kamili. Hatujui tuwafanyie nini wanawake ambao hatuwezi kuwadhibiti.
Afrika Kusini ina mojawapo ya katiba zilizo na uhuru mkubwa duniani , inayounga mkono ndoa za jinsia moja na ndoa ya mwanamume kuoa wake wengi..
Waridi wa BBC: Mfahamu Mkuu wa Wilaya ya Temeke Tanzania Joketo Mwegelo bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Das wahre Leben auf der Bühne: Leoncavallos Der Bajazzo mittelstandcafe.de - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from mittelstandcafe.de Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Das wahre Leben auf der Bühne: Leoncavallos Der Bajazzo - Politikexpress politikexpress.de - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from politikexpress.de Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.