comparemela.com

Latest Breaking News On - June april information - Page 1 : comparemela.com

Fahamu Mfalme wa Morocco alivyopambana na siasa za Uislamu

Fahamu Mfalme wa Morocco alivyopambana na siasa za Uislamu
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Pablo Escobar:Mhalifu sugu aliyevuka mipaka katika vita vyake na serikali

Mzozo wa Tigray: Serikali ya Ethiopia yasitisha mapigano Tigray huku TPLF ikisherehekea ushindi

Mzozo wa Tigray: Serikali ya Ethiopia yasitisha mapigano Tigray huku TPLF ikisherehekea ushindi
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Urembo wao uliwahadaa wengi Marekani,kumbe walidaiwa kuwa majasusi wa Moscow

Urembo wao uliwahadaa wengi Marekani,kumbe walidaiwa kuwa majasusi wa Moscow Yusuf Jumah Chanzo cha picha, FACEBOOK/ MARIA BUTINA Tabasamu zao zilikuwa za kuvutia ,urembo wao ulikuwa kama chambo na misheni zao zilikuwa za siri kubwa . Mahusiano ya karibu waliojenga na wanaume mbali mbali nchini Marekani yalikuwa na lengo moja kuu:Kukusanya habari muhimu kuhusu mipango ya siri na mikubwa ya serikali ya Marekani na kuhakikisha kwamba Urusi ilifahamu yote yaliokuwa yakiendelea nchini humo . Wengi waliishi nchini Marekani kwa miaka na hata kuolewa na kuanzisha familia nchini humo .Katika usiri wa maisha yao uliojaa mengi ya giza na yasiojulikana walidaiwa kuwa majasusi wa Moscow.Karibu katika maisha ya baadhi ya wanawake wa kipekee waliopewa mafunzo ya kijasusi kuisaidia Urusi kufahamu yote yaliyokuwa yakifanyika ndani na nje ya serikali ya Marekani na washirika wake .

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.