comparemela.com

Latest Breaking News On - It commissiona election - Page 1 : comparemela.com

Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM?

Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM? Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Google Mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ulianza rasmi mwaka 2011 wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Miaka mitatu baadaye yaani mwaka 2014, wakati huo Kikwete akimalizia muda wake madarakani mchakato huo ulikwama ukiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji kura wa katiba inayopendekezwa. Wengi walidhani baada ya kuingia madarakani mwendazake John Pombe Magufuli, mchakato huu ungepewa kipaumbele lakini mbele ya waandishi wa habari alieleza katiba mpya haikuwa kipaumbele cha utawala wake. Chanzo cha picha, CCM Maelezo ya picha, Kifungu cha 144 (e) cha Ilani ya taifa ya uchaguzi ya CCM ya 2015-2020, ilionyesha kuhusu kuendelezwa kwa mchakato wa Katiba mpya Tanzania

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.