Onyo: China yasema iko tayari kwa lolote kuzuia uchokozi wa Uingereza baharini
Saa 6 zilizopita
Chanzo cha picha, PA Media
Uchina imeionya Uingereza kuhusu kundi la meli zake za kivita zinazokaribia katika bahari ya Kusini mwa China dhidi ya vitendo vyovyote visivyofaa wakati inaingia katika eneo hilo linalozozaniwa . Msafara wa meli hizo unaongozwa na meli ya kubeba ndege za kivita ya HMS Queen Elizabeth. Jeshi la Wanamaji la Ukombozi wa Watu liko katika hali ya juu ya utayari wa mapigano linasema jarida la Global Times, linaloonekana kutumiwa kutoa kauli za Chama tawala cha Kikomunisti cha China (CCP).
Nchi hiyo imeishtumu Uingereza kwa kuendelea kuishi katika siku zake za ukoloni .
China:Jeshi la China lasema limeifukuza meli ya kijeshi ya Marekani kutoka bahari ya Kusini mwa China
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
West Side Boys:Uingereza ilipolazimika kukituma kikosi cha SAS Sierra Leone kuwaokoa wanajeshi wake
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Jeshi la Wanamaji la Marekani lakamata meli iliyosheheni silaha katika Bahari ya Arabia
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.