Floyd Mayweather Jr: Bondia anayeamini mwanaume anapaswa kuwa na wanawake wengi
27 Julai 2021, 06:59 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Ni wanamichezo ambao uwezo,talanta na rekodi zao zitasalia katika kumbukumbu za historia kwa muda mrefu .Wengine wameshastaafu lakini wenzao bado wapo katika tasnia ya michezo.Wikii hii tunakupakulia safari za wanamichezo wa kipekee ambao wameng ara na kuacha mifano ya kuigwa katika aina mbali mbali ya michezo.Leo tunamuangazia bondia Floyd Mayweather Jr
Floyd Joy Mayweather Jr. amestaafu kutoka masumbwi na sasa anamiliki kampuni yake ya kusimamia mchezo huo wa masumbwi ama ndondi inayoitwa Mayweather Promotions.
Ni baba wa watoto watano, mkubwa ni Koraun, ana miaka 21, anayefuata ni binti yake Iyanna mwenye miaka 20, Zion kijana wa miaka 19 na binti yake wa mwisho ana miaka 16 anaitwa Jirah.
Horario y dónde ver por TV hoy el combate de boxeo entre Floyd Mayweather y Logan Paul mundodeportivo.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from mundodeportivo.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.