Mabadiliko hayo yanafanana - kwa kiasi kikubwa, na yale aliyoyafanya kwenye Baraza la Mawaziri ambako kimsingi aliwahamisha tu kutoka wizara moja kwenda nyingine na hakuna waziri hata mmoja aliyeachwa na hayati Rais John Magufuli ambaye aliondolewa katika wadhifa wake.