Former deputy interior minister Salva Mathok dies eyeradio.org - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from eyeradio.org Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala
9 Julai 2021, 06:41 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita
siku kama ya leo
baada ya zaidi ya miaka 20 ya mapigano.
Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu wa makala zetu ya maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa nchi hiyo tunakupakualia kumbukumbu za harakati za kujitawala,
matukio muhimu na watu mashuhuri waliohusika na harakati hizo.