comparemela.com

Latest Breaking News On - Finally zuma - Page 1 : comparemela.com

RPA: były prezydent Jacob Zuma skazany na 15 miesięcy więzienia

RPA: były prezydent Jacob Zuma skazany na 15 miesięcy więzienia
tvp.info - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from tvp.info Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Hatimaye Zuma ajisalimisha kwa polisi | Matukio ya Afrika | DW

Hatimaye Zuma ajisalimisha kwa polisi Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela. Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela. Wakfu wa Zuma Foundation uliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa kiongozi huyo ameamua kuheshimu agizo la korti na kwamba alikuwa njiani kuelekea katika kituo cha polisi cha wilaya ya Kwa Zulu-Natal. Msemaji wa polisi Lirandzu Themba amethibitisha kuwa Zuma yuko chini ya ulinzi wa polisi baada ya kujisalimisha. Dakika chache tu kabla ya muda wa mwisho aliyopewa na korti kujisalimisha kwa hiari kabla ya polisi kumkamata, Zuma aliondoka nyumbani kwake Nkandla akisindikizwa na msafara wa magari.

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.