comparemela.com

Cluba Tottenham News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 14 06 2021: Coutinho, Cornet, Kane, Bellingham, Silva, Lingard, Fekir, Buffon

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 14.06.2021: Coutinho, Cornet, Kane, Bellingham, Silva, Lingard, Fekir, Buffon Saa 8 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Klabu ya Leicester City imepanga kumsajili kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho (29), ingawa bado haijapeleka ofa rasmi, klabu hiyo iko kwenye mazugumzo ya kumnasa Mbrazili huyo ikiwezekana kwa ada ya £17m au kwa mkopo. (Mundo Deportivo - in Spanish) Klabu ya Leeds United inamtaka beki wa kushoto wa Lyon, Maxwel Cornet, (24) lakini dau walilotajiwa la £20m kwa ajili ya kumnasa nyota huyo wa kimataifa wa Ivory Coast, linawafanya kusita. (Sun) Meneja wa Real Madrid Carlo Ancelotti amewaarifu mabosi wa klabu hiyo kumsajili mshambuliaji wa Chelsea, mjerumani Timo Werner (25). (Fichajes, via Express)

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 25 05 2021: Sancho, Bale, Hazard, Alli, Lingard, Ramsey

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 14 05 2021: Keita, Bertrand, Llorente, Andersen, De Paul, Ings, Patricio, Ronaldo

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 14 05 2021: Keita, Bertrand, Llorente, Andersen, De Paul, Ings, Patricio, Ronaldo
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 11 05 2021: Sancho, Greenwood, Camavinga, Zakaria, Grealish, Tomori

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.