Amedumu kwenye siasa za Tanzania kwa miaka zaidi ya 20, chini ya utawala wa marais wanne akiongoza siasa za upinzani akiwa mwenyekiti wa CHADEMA, kwa zaidi ya miaka 15
Habari Njema BOT yatangaza nafuu mikopo sekta binafsi udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tanzania yazindua mtambo mkubwa zaidi Afrika Mashariki wa kusafisha dhahabu
David Nkya
Saa 9 zilizopita
Rais wa Tanzania Bi. Samia Suluhu amezindua leo kiwanda cha kusafisha dhahabu jijini Mwanza kinachoitwa Mwanza Precious Metals Refinery.
Kiwanda hicho chenye thamani ys Bilioni 12.2 za Kitanzania sawa na dola za Kimarekani milioni 5.2 katika uwekezaji wake kitasafisha dhahabu yote ya Tanzania.
Aidha kiwanda hiki kinatajwa kuwa kikubwa zaidi kuliko vyote Afrika Mashariki na kazi yake kubwa itakuwa kusafisha dhahabu za kimataifa.
Kwa siku moja kiwanda kina uwezo wa kusafirisha dhahabu kilo 480 na zinaweza kuongezeka mpaka kufika kilo 960 kwa siku katika kiwango cha juu kabisa cha kimataifa, yaani dhahabu ya Tanzania itasafishwa kwa asilimia 99. 9 ambayo ni karibu 100% .
Tanzania Kinara Wa Ubora Wa Sekta Ya Fedha Kusini Mwa Afrika udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Baraza La Mawaziri Wa Fedha Na Uchumi Eac Wakataa Mapendekezo Ya Kuvunja Tume Ya Kiswahili udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.