A Dream Came True - Co-Sponsor UPoker Celebrates Triton Million pokernews.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from pokernews.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano 07.07.2021: Kane ,Sterling, Bale, Rogers, Tapsoba, White, Williams, Hennessey, Griezmann, Umtiti
7 Julai 2021, 06:17 EAT
Imeboreshwa Saa 3 zilizopita
Mshambuliaji wa England Harry Kane ni hatari sawa na Christiano Ronaldo, kwa mujibu wa mkufunzi wa Denmark Age Hareide.
England inacheza dhidi ya Denmark katika nusu fainali ya michuano ya Euro 2020 wakiwa na matumaini ya kufika fainali yao ya kwanza kuu tangu ile ya kombe la dunia la 1966. Harry Kane ni kama Ronaldo , alisema. Mpatie fursa na atafunga , hio ndio maana yeye ni hatari sana .
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,
Raheem Sterling
Nyota wa Manchester City na England Raheem Sterling yuko tayari kusikiliza ofa ya kuondoka klabuni hapo. Lakini meneja Pep Guardiola anataka winga huyo mwenye umri wa miaka 26 kubakia Etihad, licha ya Real Madrid kuonyesha kumuhitaji (Athletic).
2 days Nuclear Overtakes Coal Fired Power Generation In Historic Move 2 days China Bans Tesla Use At Military Sites Over National Security Concerns 2 days Riyadh Refinery Attacked By Drones, Saudis Say Oil Supply Safe 3 days China Installed A Record-Breaking 52GW Of Wind Power In 2020 3 days UK Private Equity Firm Looks To Buy Stake In Angola s Oil Major Sonangol 3 days U.S. Threatens Nord Stream Partners With Sanctions 3 days Oil Major BP Plans UK’s Biggest Blue Hydrogen Project 3 days Subdued Chinese Demand Weakens Asia’s Spot Oil Market 3 days Climbing Yields, Stronger Dollar Weigh On Gold Prices 4 days Biden Administration To Enforce Trump-Era Sanctions On Iran Oil Shipments