comparemela.com

Latest Breaking News On - Aston start - Page 1 : comparemela.com

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 30 07 2021: Grealish, Pogba, Lukaku, Dest, Lukaku, Trippier, Ederson, Willian

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 30.07.2021: Grealish, Pogba, Lukaku, Dest, Lukaku, Trippier, Ederson, Willian Saa 7 zilizopita Chanzo cha picha, Reuters Aston Villa wanatarajiwa kuanza tena mazungumzo na kiungo wa England Jack Grealish, 25, wiki ijayo na wako tayari kumpa mkataba mpya wa kuzuia hamu kutoka kwa Manchester City. (Express na Star) Mabingwa wa Ligi ya Premia City, hata hivyo, wameanza mazungumzo na Villa kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo - na uamuzi kuhusu ikiwa makubaliano ya Grealish yanaweza kuafikiwa utafanywa ndani ya siku chache. (Guardian) Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anatarajia kufanikisha usajili wa Grealish kwa wakati kabla ya mechi za Community shield tarehe 7 Agosti (Star)

F1 GP de Austria, en directo: entrenamientos libres y la clasificación en vivo

F1 GP de Austria, en directo: entrenamientos libres y la clasificación en vivo
mundodeportivo.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from mundodeportivo.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.