Hizi ni nchi tano zenye wafungwa wachache zaidi duniani
6 Julai 2021, 08:07 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images Kuna zaidi ya watu milioni 11 wako magerezani duniani kwa mujibu wa ripoti ya hivi karibuni iliyochapishwa na World Prison Population List (WPPL), katika utafiti wa Taasisi ya utafiti ya Criminal Policy Research (ICPR), ya Chuo Kikuu cha London, Birkbeck.
Marekani inaelezwa kuwa na wafungwa karibu robo ya wafungwa wote duniani, huku idadi ya wafungwa ikiongezeka kwa asilimia 68% katika nchi ya Cambodia, 61% huko Nicaragua na ongezeko la asilimia 53% kwa nchi ya Misri.
Pamoja na idadi hiyo ya wafungwa kuonekana kubwa na ikiongezeka katika baadhi ya nchi, zipo baadhi ya nchi duniani ambazo wafungwa wako wachache.
Scores of Swansea pupils have to self-isolate after positive Covid test at city comprehensive
walesonline.co.uk - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from walesonline.co.uk Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Probleme pentru prima ţară din lume care a adoptat Bitcoin Acordul cu FMI e în pericol
capital.ro - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from capital.ro Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.