comparemela.com

Latest Breaking News On - Already furthermore - Page 1 : comparemela.com

Imbas Kebakaran Lapas Tangerang, Rutan Wonogiri Gelar Razia Kamar Wabin

Imbas Kebakaran Lapas Tangerang, Rutan Wonogiri Gelar Razia Kamar Wabin
solopos.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from solopos.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Mafuriko yasababisha maafa China

Mafuriko yasababisha maafa China Shirikisha Print Wataalam wa hali ya hewa wamesema Jumatano kwamba takriban watu 25 wamekufa kutokana na mafuriko kwenye jimbo la Henan katikati mwa China kufuatia siku kadhaa za mvua, wakati wakitabiri kwamba mvua hizo zitaendelea kunyesha kwa siku tatu zaidi. Ripoti zinasema kuwa barabara za mji mkuu wa jimbo hilo wa Zhengzhou zimesombwa maji wakati madereva wakilazimika kutembea kwa miguu huku maji yakiwafika kiunoni. Mafuriko hayo pia yanasemekana kusomba njia za reli ambazo zinategemewa kwa usafiri na watu wengi. Watu 12 wanasemekana kufa kwenye vituo vya treni vya chini ya ardhi wakati takriban 500 waliokolewa kulingana na chombo cha habari cha serikali.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.