comparemela.com

Latest Breaking News On - A lionel andres - Page 1 : comparemela.com

Lionel Messi:Rekodi yake inasoma kama nyota isiyopungua mwanga

Lionel Messi:Rekodi yake inasoma kama nyota isiyopungua mwanga Saa 7 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Ni mchezaji mpole na makali yake yamefahamika kudhihirika pindi anapojitosa uwanjani.Ni miongoni mwa wachezaji wanaotambulika sana kote dunia na isitoshe amesalia katika klabu moja tangu alipoanza kucheza-Barcelona . Jina lake ni Lionel Andrés Messi au Leo Messi, na alizalia Juni tarehe 24 mwaka wa 1987 .Ni Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na anazingatiwa kuwa mojawapo ya wachezaji bora wa nyakati zote . Messi ameshinda tuzo za Ballon d Or mara sita . Katika muda wake wote wa maisha yake ya soka na klabu ya Barcelona Messi ameshinda vikombe 34 vikiwemo 10 vya La liga ,7 vya Ciopa Del Rey na manne ya kombe la uefa .

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.