Vifo vya wahamiaji vyaongezeka kwenye bahari ya Mediterranean
15 Julai, 2021
Shirikisha
share
Print
Shirika la kimataifa la uhamiaji la IOM Jumatano limesema kuwa vifo vya wahamiaji kwenye njia hatari kwelekea Ulaya vimeongezeka maradhufu katika nusu ya kwanza ya mwaka.
Idadi hiyo imelinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita wa 2020.IOM limesema kuwa lina wasi wasi kutokana na ongezeko la vifo kwenye njia hatari baharini inayotumiwa na wahamiaji kutoka Afrika wakati wakelekea Ulaya.
Shirika hilo Jumatano limesema kwamba takriban watu 1,146 wamekufa wakati wakijaribu kuvuka kwelekea Ulaya katika nusu ya kwanza ya mwaka huu. Wengi wa waliokufa wanasemekana kuwa kwenye bahari ya Mediterranean.
WHO: Kematian mingguan COVID-19 di Afrika naik 43 persen
antaranews.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from antaranews.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
UN: Vifo ya wahamiaji wanaovuka bahari kuelekea bara Ulaya vyaongezeka maradufu | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.