comparemela.com


Tetesi za soka Ulaya Jumanne 06.07.2021: Firpo, Ramos, Varane, Camavinga, Coman, Messi, Ronaldo, Griezmann
6 Julai 2021, 06:51 EAT
Imeboreshwa Saa 6 zilizopita
Chanzo cha picha, Getty Images
Klabu ya Leeds United imemsajili beki Junior Firpo kutoka Barcelona kwa dau la pauni milioni 13 kwa mkataba wa miaka minne.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alihamia Nou Camp kutoka Real Betis katika msimu wa 2019 na kushiriki mechi 41 akiichezea Barca , ambao walikuwa wameweka sheria ya mauzo ya asilimia 20 katika makubaliano hayo na Leeds.
Mchezaji huyo wa zamani wa Uhispania aliisaidia Barcelona kushinda kombe la Copa del Rey msimu uliopita.
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,

Related Keywords

Italy ,United Kingdom ,France ,Turkey ,Scotland ,Turks ,Mario Balotelli ,Mikel Arteta ,Stern ,Europe Tuesday ,Bayern Munich ,France Lionel ,England Deny ,Manager New ,Coach New ,இத்தாலி ,ஒன்றுபட்டது கிஂக்டம் ,பிரான்ஸ் ,வான்கோழி ,ஸ்காட்லாந்து ,டர்க்ஸ் ,கடுமையான ,யூரோப் செவ்வாய் ,பேயர்ன் முனிச் ,பயிற்சியாளர் புதியது ,

© 2025 Vimarsana

comparemela.com © 2020. All Rights Reserved.