comparemela.com


Miaka 10 ya Uhuru wa Sudan Kusini: John Garang, 'Baba wa taifa' ambaye hakuonja matunda ya uhuru wa nchi
6 Julai 2021, 05:42 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita baada ya zaidi ya
miaka
20 ya mapigano.Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu wa
m
z
etu ya maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa nchi hiyo tunakupakualia kumbukumbu za harakati za kujitawala,matukio muhimu na watu mashuhuri waliohusika na harakati hizo.Katika sehemu hii ya kwanza tunamuangazia baba wa uhuru wa Sudan Kusini John Garang de Mabior

Related Keywords

Uganda ,Berkeley ,California ,United States ,Tanzania ,Kenya ,Israel ,Yoweri Museveni ,Universitya Province ,Senior In College ,Death Her ,Host Liberation Citizens ,Region Eat ,Headquarters Host ,President Al Bashir ,Ibid Her ,Minister Of Information ,Her South ,Mountains South ,உகந்த ,பெர்க்லி ,கலிஃபோர்னியா ,ஒன்றுபட்டது மாநிலங்களில் ,தான்சானியா ,கேந்ய ,இஸ்ரேல் ,மூத்தவர் இல் கல்லூரி ,இறப்பு அவள் ,ப்ரெஸிடெஂட் அல் பஷீர் ,அமைச்சர் ஆஃப் தகவல் ,அவள் தெற்கு ,மலைகள் தெற்கு ,

© 2024 Vimarsana

comparemela.com © 2020. All Rights Reserved.