comparemela.com


Iraq: Moto hospitalini wasababisha vifo vya wagonjwa zaidi 92 wa Corona
13 Julai 2021, 06:16 EAT
Imeboreshwa Saa 1 iliyopita
Zima moto wanakabiliana na moto uliozuka katika hospitali moja huko Nasiriya, Iraq
Zaidi ya watu 92 wamekufa baada ya moto kuzuka katika wodi ya wagonjwa wa Corona katika hospitali nchini Iraq.
Moto katika hospitali ya Al-Hussein kusini mwa mji wa Nasiriya ulidhibitiwa mwishoni mwa Jumatatu.
Sababu ya moto haijulikani wazi, lakini ripoti za mwanzo zinaonyesha kuwa ulianza baada ya tenki ya oksijeni kulipuka.
Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhemi aliamuru kukamatwa kwa mkuu wa hospitali. Jamaa za wagonjwa wamekuwa wakiandamana nje ya jengo hilo.
Shirika la habari la Reuters liliripoti mapambano kati ya jamaa za waliofariki na polisi huku magari mawili ya polisi yakiteketezwa

Related Keywords

Iraq ,Iraqis , ,Organization Health ,Reuters ,Shot Hospital ,Prime Ministers ,Ward It New ,Organization Health In The World ,July Chat ,இராக் ,ஆர்கநைஸேஶந் ஆரோக்கியம் ,ராய்ட்டர்ஸ் ,ப்ரைம் அமைச்சர்கள் ,

© 2024 Vimarsana

comparemela.com © 2020. All Rights Reserved.