Jinsi upasuaji wa kurekebisha maumbile ya mwili unavyoshamiri Uchina licha ya kuwa hatari
17 Julai 2021
Chanzo cha picha, Getty Images Sawa na vijana wa rika yake Ruxin mwenye umri wa miaka 23 huangalia mitandao ya kijamii ya moja kwa moja kila siku, lakini anaangalia mkitu maalum- updates ama taarifa za hivi karibuni kabisa za upasuaji wa kubadilisha au kurekebisha maumbile ya mwili. Ruxin anapanga kufanyiwa upasuaji utakaompa muonekano wa kope mbili ambapo upasuaji huo utamuongezea kope, akiwa na matumaini kwamba utayafanya macho yake kuonekana makubwa zaidi.
Mkaaji huyu wa Guangzhou mara kwa mara amekuwa akitumia app ya Gengmei kumsaka mpasuaji bora zaidi .
Diplomati Mal Berisha: 100 vjet nga pranimi i Shqipërisë në lidhjen e kombeve kohajone.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from kohajone.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.